PELE AZINDUA KITABU CHAKE NA KUKIUZA KIASI CHA DOLLA $1700
Mwanasoka bora kutoka pande za Brazil mwenye umri wa miaka 72 Pele amezindua kitabu chake kinachoitwa Pele ambacho kinauzwa kwa kiasi cha dolla za kimarekani 1700. Kitabu hicho chenye uzito wa 33 pounds kimechapishwa jumla ya nakala 1283.
Mchezaji huyo alijikuta akitoka machozi wakati akiwa anazindua kitabu hicho ambacho kimechapishwa na kampuni inayojulikana kama Toriba Publica. Kitabu kitaanza kupatikana sokoni kwanzia mwezi November.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni