Social Icons

Jumatatu, 18 Novemba 2013

ANGALIA PICHA, WAFANYA BIASHARA KARIAKOO WALIVYO FUNGA MADUKA(MGOMO) LEO.


Sababu ya mgomo ni kupinga vifaa maarumu vya kuripia kodi ya TRA ambavyo vina uzwa kwa gharama ya juu,ikimbukwe hali hii ilitokea wiki kazaa zilizo pita mkoana MBEYA na kusababisha vurugu ambyo ilipelekea mpaka vikosi vya usalama kutuliza ghasia hizo.

MAONI YAKO..... 



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates