Social Icons

Jumatano, 17 Desemba 2014

VAN GAAL KOCHA BORA WA MWAKA, VAN PERSIE ABEBA TUZO, ROBBEN BORA

KOCHA LOUIS VAN GAAL AMEIBUKA NA KUPEWA TUZO YA KOCHA BORA WA MWAKA WA UHOLANZI BAADA YA KUIFIKISHA NCHI HIYO KWENYE NUSU FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2014. MSHAMBULIAJI WAKE, ROBBEN VAN PERSIE AMEPEWA TUZO YA BAO BORA, LILE ALILOFUNGA KWENYE KOMBE LA DUNIA AKIPAA KAMA NDEGE NA MSHAMBULIAJI WA BAYERN MUNICH, ARJEN ROBBEN AMETEULIWA KUWA MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA WA UHOLANZI. TUZO HIZO ZIMEFANYIKA JUZI USIKU NCHINI HUMO.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates