Social Icons

Jumatano, 17 Desemba 2014

AJALI YA BASI LA MOHAMED TRANS YAUA WATU SITA NA KUJERUHI

Imeripotiwa kuwa ajali ya Basi la Mohamed Trans iliyotokea leo asubuhi huko maeneo ya IGUNGA mkoani TABORA.
Aidha mashuhuda wa ajali hiyo mbaya wamesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni baada ya dereva wa basi hilo alipokuwa akijaribu kulipita roli lililokuwa mbele yake hali iliyo pelekea gari kukosa muelekeo na kumshinda dereva na kisha kuanguka.
"Basi hilo baada ya kukosa mwelekeo liliiingia kwenye shimo lililokua kando ya barabara hiyo na kupinduka ambapo jumla ya Watu sita wamethibitika kufariki dunia akiwemo mfanyakazi wa kampuni hiyo ya Mohamed trans"alisema shuhuda huyo
Basi hilo lilivyoharibika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates