Social Icons

Ijumaa, 5 Desemba 2014

UHURU KENYATTA AFUTIWA MASHITAKA NA MAHAKAMA YA ICC

Mwendesha Mashitaka Mkuu Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Uhalifu (ICC) Fatou Bensouda, leo amefuta mashitaka yaliyokuwa yakimkabili Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, katika kesi iliyokuwa ikiendeshwa na Mahakama hiyo.
Mwendesha mashitaka huyo, amesema kuwa katika kesi hiyo hakuna ushahidi uliokamilika wala kuimarika na kuthibitishwa kwa kiongozi huyo kutiwa hatiani kufuatia mashitaka yaliyowasishwa mahakamani hapo dhidi yake ya uhalifu wa kibinadamu.
Kenyatta na na Ruto walishitakiwa kama washukiwa wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates