Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mbowe akiwanadi wagombea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni