Social Icons

Ijumaa, 19 Desemba 2014

KAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwa katika Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Said Issa Mohamed na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari.
 Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega akizungumza wakati wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema.


Wajumbe wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema wakiwa katika mkutano.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates