Social Icons

Jumapili, 21 Desemba 2014

RONALDO TISHIO........AWEKA REKODI NYINGINE


Cristiano Ronaldo amekua mchezaji wa kwanza duniani kuzoa vikombe vyote kwa ngazi ya club vya ligi ya ndani ya nchi husika anayocheza akiwa na vilabu viwili tofauti.
akiwa na Man united Ronaldo alifanikwa kushinda mataji yafuatayo


TUZO MBALI MBALI BINAFSI ALIZOSHINDA AKIWA NA VILABU VYA MAN UTD NA REAL MADRID

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates