Social Icons

Alhamisi, 11 Desemba 2014

Kampeni za uchaguzi Tanzania


Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania imeanza kazi ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.
Katika maboresho hayo, tume imeanzisha mfumo wa kuchukua au kupima taarifa za mwili au tabia ya mtu ujulikanayo kama Biometric Voter Registration, BVR na kuzihifadhi kwenye data base za tume hiyo.
Vyama vya siasa na wadau wengine wa masuala ya uchaguzi wamekuwa wakitaka pawe na mfumo utakaosaidia kuondoa udanganyifu unaosababisha uchaguzi kutokuwa huru na wa haki.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates