Social Icons

Alhamisi, 11 Desemba 2014

Mauaji Yarudisha Urafiki wa Mayweather na 50 Cent,50 amuita Mayweather Mdogo Wake



Ni kama vile hakukua na vita ya maneno dhidi ya watu wawili maarufu 50 Cent na bondia Floyd Mayweather baada ya wawili hao kuwasiliana kwa nia ya mtandao wa kijamii Instagram kuhusiana na tukio lilstaajabisha watu wengi la Rapper asie maarufu sana Earl Hayes aliemuua mkewe  Stephanie Moseley na kisha kujiua mwenyewe
Katika tukio hilo imeminika kua Floyd mayweather alishuhudia tukio hilo liliofanynwa na Hayes baada ya kupigiwa simu nae na kisha kutekeleza mauaji hayo huku akishuhudia kwa njia ya simu.Hayes alikua akimtuhumu stephanie kua si muaminifu katika mahusiano yao.
50 cent kupitia mtandao wa Instagram alimuandikia ujumbe ulionekana akisikitikia tukio hilo la kushtua na pia kumtaka awe katika hali ya faraja baada ya kuwa  katika wkati mgumu kwa kushuhudia mauaji hayo.
"@floydmayweather you are my little brother. All can think about is what you said to me up stairs. Don’t you ever do nothing to your self no matter what champ. We can fall out and fight or what ever,but I don’t want to see you go out like that.” ilisomeka sehemu ya ujumbe kutoka kwa 50 cent kwenda kwa bondia huyo ambapo bondiua huyo alirepost ujumbe huo toka kwa 50 cent kuonesha kupokea kile ambacho kimeandikwa kuelekea kwake.
Sehemu ya ujumbe imeonesha 50 akimuita bondia huyo mdogo wake jambo ambalo halikua likionekana kwa muda sasa kufuatia wawili hao kukorofishana kwa kile kilichoaminika matatizo ya kibiashara baina yao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates