Social Icons

Jumapili, 5 Oktoba 2014

WATU WAWILI WANUSURIKA KUFA ENEO LA MSIKITINI MBAGALA

Watu wawili namenusulika kifo baada ya kontena la kunde kudondoka kutoka juu ya gari la mizigo lililokuwa kwenye mwendo kasi, likitokea Mbagala rangi tatu likielekea Kariakoo jijini dar es salaam.Taarifa zinasema kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo, isipokuwa vijana wanaoishi maeneo hayo walianza kuzoa Kunde baada ya kontena kuanguka kabla ya polisi kufika.
 
Inalipotiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo nikutofungwa vizuri kwa kontena hilo pamoja na bodi ya gari la mizigo husika.
 
Ajali hii imetokea leo maeneo la Msikitini kati ya Mtongani na Mission jijini dar es salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates