Social Icons

Alhamisi, 16 Oktoba 2014

MMILIKI WA FB MARK ZUCKERBERG KUCHANGIA EBOLA!

Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg (kulia) akiwa na mkewe, Priscilla Chan.
Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg amesema yeye na mkewe Priscilla Chan, watachanga dola milioni 25 za kusiadia vita dhidi ya Ebola.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates