Cristiano Ronaldo amesherehekea hat trick yake ya jana Real Madrid kwa kumtoa kwa chakula cha usiku mpenzi wake, Irina Shayk
Shayk alikuwapo Uwanja wa Bernabeu jana Ronaldo akifunga hat trick ya 22 tangu atue Real Madrid
Ronaldo alifunga kwa mara ya 14 mfululizo mechi za nyumbani, Real Madrid ikiifunga Athletic Bilbao 5-0
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni