Social Icons

Ijumaa, 17 Oktoba 2014

BABA ACHOMA MOTO NYUMBA NA KUFA YEYE NA MKEWE BAADA YA KUGOMBANA

Mume na mke wamejilipua namafuta ya Petrol Mkoani Mtwara baada ya kutokea kwa ugomvi baina yao wakati wa usiku.
Kamanda wa Polisi alisema vifo hivyo vilitokana na ugomvi wa kifamilia ambapo Mume huyo aliyetambulika kwa jina la Selsius Kamguna alimpiga mkewe hadi kupoteza fahamu.

Alisema baada ya kuona mke wake amepoteza fahamu aliamua kuteketeza nyumba yao kwa moto akitumia mafuta ya petroli wakiwa ndani kitendo kilichosababisha wote wawili kupoteza maisha,

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates