Social Icons

Jumapili, 5 Oktoba 2014

RAIS DK. SHEIN APOKELEWA PEMBA

IMG_8570
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed  Shein na Mkewe Mama Mwanawema Shein  wakisalimina na Viongozi mbali mbali  alipowasili katika uwanja wa Ndege  wa Karume Pemba leo
IMG_8577
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwana Mwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi Pemba mara baada ya kuteremka Ndege katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo 
IMG_8595

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Blogger Templates