Social Icons

Jumamosi, 11 Oktoba 2014

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE CHINI YA ULINZI KWA MBINU YA KULIPUA MBWENI

Wanafunzi hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi

.
Bweni linalodaiwa kuchomwa na wanafunzi hao.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe, Fulgence Ngonyani 
(wa pili kushoto) akionyeshwa jinsi bweni lilivyoteketezwa kwa moto huku akiwa na askari wake. 
Wanafunzi hao wakiingizwa katika gari la polisi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates