Social Icons

Alhamisi, 2 Oktoba 2014

BAKWATA YATANGAZA SIKUKUU YA IDD EL HAJI

Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa sikukuu ya Idd el Haji itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 5 Oktoba 2014.
Akizungumza na TBC, Kaimu Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Shehe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habib Mwakusanya amsesema swala ya sikukuu hiyo itaswaliwa Kitaifa katika msikiti wa Al Farouq uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na Baraza la Idd.
Mufti huyo amewataka Mashehe wa Wilaya na Mikoa kuwatangazia taarifa hii waumini katika misikiti yao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates