Social Icons

Jumamosi, 18 Oktoba 2014

Waasi wa ADF wadaiwa kuwaua watu 20 DRC

Ripoti kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo zinasema kuwa watu wanaokisiwa kuwa wanachama wa kundi la waasi kutoka nchini Uganda wamefanya mashambulizi mengine katika eneo lililo mashariki mwa nchi ambapo wamewaua takriban watu 20
Shirika moja la kutetea haki binadamu linasema kuwa waasi kutoka kudi la Allied Democratic Forces ADF ndio walihusika na shambulizi hilo kwenye kijiji kilicho katika mkoa wa kivu Kaskazini.
Siku ya Alhamisi watu 26 waliuawa kwenye mji ulio mashariki mwa dcr wa Beni karibu na mpaka na Uganda.
Wengi wa walio waliouwa na ni rawa wakiwemo watoto.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates