"Wote wawili wamejulishwa kuhusu masikitiko tuliyonayo kutokana na vitendo vyao."
"Kwa sasa macho yetu tumeyaelekeza kwa mechi ijayo dhidi ya Aston villa iliyoratibiwa kuchezwa hapo jumatatu, ingawa siku za hivi karibuni tumekuwa na wakati mgumu, tunatumai tutaweza kugeuza udhaifu wetu kuwa nguvu yetu na hivyo kuonyesha ustadi wa hali ya juu kuliko ilivyokuwa jumapili iliyopita," taarifa hiyo ilisema.
Katika vuta ni kuvute iliyoanza baada ya timu ya QPR kushindwa na Liverpool mabao 3-2 hapo jumapili, meneja Redknapp alimtaja mchezaji Taarabt kama "mchezaji mwenye tajriba kubwa lakini mbaya zaidi kuwahi kukutana naye".
Kwa Undani
-
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi
na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au
swala...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
SIMULIZI YA KUSISIMUA-NANI KACHUKUA SURA YANGU?
-
MTUNZI NA MWANDISHI MWL YUSUPH ABEL NG'AHALA.
Sim no, 0755683295/Watsap. Instagram@ mwalim_yuu.
SEHEMU YA KWANZA.
Kwanza naomba nianze kwa kujit...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni