Social Icons

Jumapili, 10 Agosti 2014

MAJANGA,Ndege yaanguka na kuwaua abiria 40 Iran

Ndege ilioanguka nchini Iran
Runinga ya taifa la Iran imesema kuwa abiria wote wamefariki .
Ndege hiyo inayojulikana kama Iran 141 ilitengezwa nchini Iran kupitia teknologia ya Ukraine.Ndege hiyo ya kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makaazi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Maghribi mwa mji wa Tehran.
Uchunguzi umeanzishwa kuhusu ni nini kilichosababisha ajali hiyo.
Iran imekabiliwa na ajali kama hizo katika siku za hivi karibuni kutokana na ndege zake zilizozeeka mbali na marekebisho mabaya inazozifanyia

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates