Social Icons

Alhamisi, 14 Agosti 2014

HII NDIO GARI YA BEI GHARI DUNIANI.....


b1
Bugatti moja ya magari yenye gharama kubwa sana duniani ambayo mara nyingi humulikiwa na watu wenye kipato kikubwa tu. Kampuni inayotengeneza magari hayo imetoa matoleo matatu ya lengend edition na hii ya sasa hivi ni ndiyo ya mwisho kwenye edition hii.
Toleo hili la tatu yatatengenezwa magari matatu tu ambayo kila mmoja litauzwa kwa $3.14 million. Hizi ni picha za gari hilo
b2
b3
b4

BILIONI 5.......

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates