Social Icons

Jumamosi, 2 Agosti 2014

AJALI: BASI LA HOOD LAGONGANA NA DALADALA NA KUUA WATU WATANO ARUSHA AKIWEMO DEREVA WA DALADALA

 

 Muonekano wa basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo.

Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye.

 Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood kwenda Mbeya baada ya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha.
 Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates