Social Icons

Jumatatu, 4 Agosti 2014

ANGALIA PICHA ZA MBUNGE RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA

MBUNGE WA TABORA MJINI (CCM) ISMAIL ADEN RAGE, AMBAYE PIA NI MJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, AKIWA AMELAZWA KWENYE HOSPITALI YA RUFAA, DODOMA, JUMATATU AGOSTI 4, 2014. RAGE ALIPATA AJALI ENEO LA CHIGONGWE, NJE KIDOGO YA MANISPAA YA DODOMA, WAKATI AKIELEKEA MJINI HUMO TAYARI KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE MAALUM VINAVYOANZA JUMANNE AGOSTI 5, 2014 



Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, akimjulia hali Rage, hospitalini mjini Dodoma, Jumatatu Agosti 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates