PLEASE PRAY FOR KENYA,
WATU 43 WAMEPOTEZA MAISHA NA ZAIDI YA WATU 143 WAMEJERUHIWA VIBAYA,MPAKA SASA WAVAMIZI BADO HAWAJA KAMATWA ILA JUHUDI ZA DHATI ZINAENDELEA NA TAYARI JESHI LA KENYA LIME FANIKIWA KUFIKA OROFA YA PILI.
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. SAMIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA ZA
KAMPENI
-
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi, wanachama, wapenzi,
wakerek...
Saa 5 zilizopita
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni