Social Icons

Jumatatu, 9 Septemba 2013

BAADA YA MIAKA 16,ETO'O SAMWELI.........(MCHEZAJI)

SAMUEL ETO'O ASTAFU KUICHEZEA CAMEROON
http://www.cameroononline.org/wp-content/uploads/2013/08/etoo.jpghttp://blogs-images.forbes.com/mfonobongnsehe/files/2011/08/Samuel-Eto-o_2046006.jpg

Mchezaji wa chelsea Samuel Eto'o na timu ya taifa ya cameroon upande wa ushambuliaji ameachana rasmi na soka la kimataifa.Akiwa na maana amestaafu kuchezea timu ya taifa ya Cameroon,sababu za kustaafu ameelezea kuwa ni za kifamilia,lakini wachambuzi wa mambo wanasema ni kutokana na kutokuelewana vizuri na kocha wake pamoja na uongozi wa chama mpila cha nchi yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates