SAMAHANI KWA PICHA MBAYA ZA JERAHA LA WYNE ROONEY LAKINI HILI NDIO JERAHA LA MSHAMBULIAJI HUYO BAADA YA KUGONGANA PHIL JONES MAZOEZINI
Wayne Rooney ametupia picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook
Rooney alikuwa na familia yake akiwemo mkewe Coleen (kulia)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni