Social Icons

Jumatatu, 23 Septemba 2013

JOHNSON JABIR MWANDISHI HABARI AVAMIA, APIGWA NA MAPANGA, AJERUHIWA



Majeraha aliyoyapata kichwani
Johnson Jabir
ARUSHA: (JAIZMELALEO) - Maisha ni safari ndefu wadau wa JAIZMELALEO.
Siku zote mshukuru Mungu kwa kila jambo linapotokea katika maisha yako wala usiwe na hofu kabisa hata kama linauma kama nini LEAVE TO GOD.
Usiku wa kuamkia Septemba 22, 2013 katika mtaa wa Elkurei katika Kata ya Kiranyi, Arumeru mkoani Arusha wezi walinivamia na kunijeruhi haswa.
Walibeba vifaa vya kazi lakini kubwa zaidi ilikuwa ni kunitoa roho lakini Mwenyezi Mungu alininusuru kwa kunitia nguvu kupambana nao walikunja na marungu, visu na mapanga.
JINA LA BWANA LIBARIKIWE KWA YOTE.
Source:JAIZMELALEO)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates