Sehemu ya vifaa vya Studio
Juu Mtaalamu kutoka Afrika, Martin Botha akitoa mafunzo kwa crew ya Azam TV katika ofisi kuu za kampuni hiyo, eneo la Tabata Reli, Dar es Salaam.
Mtaalamu kutoka Marekani akitoa mafunzo kwa Jaffar Iddi wa Crew la Azam TV
Vijana wa Crew akipata mafunzo ya utumiaji wa vifaa vya kisasa
Madishi ya Satelite yakiwa uani kwa jengo la Studio ya Azam TV
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni