Wasanii wanaounda kundi la muziki la mafikizolo kutoka Afrika ya Kusini.
Hili ni moja ya kundi ambalo limeshawahi kufanya show kadhaa nchini Tanzania, ambapo onesho la moja lilifanyika Mliman City mwezi uliopita.
Miongoni mwa vipengele walivyoshinda ni pamoja na album ya mwaka, kundi bora.
Wasanii wengine waliopata tuzo hizo jana usiku ni pamoja na Zahara, Kabomo, Nakhane Toure, Ifan Big Nuz, Micasa muziki na wengine
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni