Ajali hii mbaya imetokea jana katika kijiji cha Masanza Kona Mkoani Mwanza. Chanzo cha Ajali hio ni Mwendo Kasi wa Basi ilo ambao ulimshinda dereva na kugonga nyumba moja iliokua pembezoni mwa Barabara iyo na kumua mtu mmoja aliekua ndani na Abiria wengine Tisa Majerui walikimbizwa hospital ya Bugando Jijini Mwanza
VOA Express
-
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya
za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo
haya y...
Saa 1 iliyopita
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni