Social Icons

Jumanne, 22 Aprili 2014

PRODUCER C9 APATA AJALI NA KUUMIA KICHWANI.



Producer anayewani tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA 2014 amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa amepanda kuharibika sana. C9 amewai kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu Sharo millionea na nyingine. Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates