SHEREHE ZA MIAKA HAMSINI(50) YA MUUNGANO KATIKA PICHA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la Wananchi.
Kikosi cha Makomandoo kikikipita kwa mwendo wa aina yake.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe
Kikosi cha makomandoo kikitoa salamu kwa Rais
Makomandoo wakivunja matofali kwa kichwa na mikono.
Baadhi ya siliha za kivita zikipitishwa mbele ya umati.
Jeshi la Wanamaji.
Askari wa Mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru.
Ndege za kivita zikilinda ndege ya Rais.
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza mmoja wa wanajeshi wa Kikosi cha Mwamvuli
Maandamano ya pikipiki
Matembezi maalumu
Njiwa wakirushwa kuashiria miaka 50 ya Muungano
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni