Social Icons

Jumanne, 22 Aprili 2014

DAVIDO AONESHA JEURI YA PESA.


Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv kwa siku hutokosa kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye za Davido.
Ametumia Instagram yake kuonyesha gari mpya aliyoagiza na kwamba inakaribia kufika. Gari hii ni ya mwaka 2014 aina ya Mercedes Benz S63 AMG ambayo thamani yake kwa sasa ni  dola140,905 ambazo nikama milioni 200 za Tanzania.
davido ridedavido 12

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates