Social Icons

Jumanne, 29 Aprili 2014

ANGALIA PICHA: BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO.

Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.


Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates