Social Icons

Jumapili, 27 Aprili 2014

BASI LA RATCO LAPATA AJALI KIBAHA, PWANI jana JIONI APRILI 27, 2014.

 Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa bila kusahau kipimajoto mkononi...
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani jana Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka ubavu baada ya kuacha njia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates