Social Icons

Jumapili, 7 Septemba 2014

SIMONE BATTLE WA X FACTOR AKUTWA AMAFARIKI

Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani.

 
 
Bado chanzo cha kifo chake hakijasemwa lakini uchunguzi unaendelea zaidi kujua ni nini kilitokea na wala hakuna taarifa za ziada zilizotolewa zaidi ya hii ya kusema amekutwa amefariki nyumbani kwake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates