Social Icons

Jumatano, 10 Septemba 2014

KIFARU CHA JESHI CHAPARAMIA NYUMBA MTWARA NA KUSABABISHA VIFO

 Ajali nyingine yatokea Mtwara na kudaiwa kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates