Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Manchester United Danny Welbeck amefuata mkumbo wa kundi la wachezaji walioihama Man united wiki hii.Baada ya Shinji Kagawa, leo hii imethibitishwa rasmi Danny Welbeck amejiunha na klabu ya Arsenal.Welbeck ambaye alijiunga na United tangu alipokuwa na miaka 7, amejiunga na Arsenal kwa ada ya uhamisho wa £16m na akisaini mkataba wa miaka minne.
Welbeck ameshaichezea Man united mechi 142 huku akifunga jumla ya mabao 29.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni