MWANAUME MMOJA MAKAZI WA KISEKE ILEMELA JIJINI MWANZA,AMEKUTWA AMEKUFA BAADA YA KUJINYONGA JUU YA MTI WA MUEMBE NA MWILI WAKE KUKUTWA UMEHARIBIKA VIBAYA HUKU UKITOKA MAJI NA HARUFU MBAYA.INAKADILIWA MTU HUYO ALIJINYONGA SIKU TATU ZILIZOPITA,NA CHANZO CHA KIFO HICHO HAKIJAFAHAMIKA KUTOKANA NA MAREHEMU KUJINYONGA PASIPO KUACHA UJUMBE WOWOTE.
WAKAZI WA ENEO HILO WALIOFIKA ENEO LA TUKIO WALISHINDWA KUMTAMBUA MTU HUYO KUTOAKANA NA MWILI WAKE KUHARIBIKA VIBAYA.MAAFISA WA POLISI WALIOKUWEPO ENEO LA TUKIO WALIAMURU MWILI HUO UZIKWE BAADA YA KUFANYIWA UTAFITI NA DAKTARI ALIYEKUWEPO ENEO HILO LA TUKIO.
MWILI WA KIJANA HUYO UKIWA JUU YA MTI KABLA YA KUTEREMSHWA.
HUU NDIYO MWILI WA KIJANA HUYO IKIWA UMESHUSHWA
WANANCHI WAKIUZIKA MWILI WA MWANAUME HUYO.
TARATIBU ZA MAZIKO ZIKIENDELEA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni