Kama kawaida hii ndio mida ya kurekebisha, kuongeza na kupata mikataba mipya kwa wachezaji mbalimbali. Wengine wanakua over priced na wengine under priced ili mradi biashara ifanyike na kila mtu apate chake.Manchester united inategemea kumpa mkataba mpya beki wao Phil Jones wiki hii baada ya mkataba wake wa sasa kuwa unaisha mwishoni mwa msimu ujao. Jones ana miaka 23 hivi sasa na anategea kulipwa £80,000 kwa wiki kwenye mkataba mpya.
Jones alijiunga na Man united akitoka Blackburn kwa ada ya pound milioni 16 mwaka 2011
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni