Social Icons

Jumamosi, 27 Juni 2015

JONAS MKUDE AANZA KUKAMUA BONDENI KWA MADIBA

Kiungo mahiri wa ukabaji wa Simba na Taifa Stars, Jonas Gerard Mkude ameanza majaribio katika klabu ya Bidvest Wits inayoshiriki ligi kuu Afrika kusini.Mkude ameonekana mwenye kujiamini katika majaribio hayo, huku akiwa na matumaini ya kufuzu ili kutimiza ndoto yake ya kucheza soka la kulipwa.
Mkude akiwa amekaa kwenye benchi la uwanja wa Bidvest kabla ya kuanza mazoezi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates