Social Icons

Jumanne, 23 Juni 2015

ASHLEY YOUNG AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA TANGU UTOTONI

youg2
Ashley Young amefunga ndoa na mpenzi wake ambae walikua pamoja tangu wapo watoto shuleni. Young aliwai kughailisha siku mbili kabla ya harusi yao mwaka 2011.Shemeji yetu anaitwa Nicky Pike unaambiwa wawili hawa hawajaanza kupenda wakati Ashley amekua superstar, mapenzi yao yapo tangu kitambo. Harusi yao imehudhuliwa na watu mbalimbali akiwe Fabrice Muamba.

young1
young3
young4

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates