Social Icons

Jumatano, 19 Novemba 2014

RONALDO, MESSI WAPIGA SOGA KABLA MECHI OLD TRAFFORD

 Nani anasema Cristiano Ronaldo na Lionel Messi huwa hawapigi stori? Angalia mwenyewe.
Wawili hao walipiga stori za kutosha tu kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Argentina na Ureno haujaanza kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, England, 
Hata hivyo, walizungumza kwa staili ya aina yake kila mmoja akiziba mdomo wake.
Wote walifanya hivyo kuhofia wataalamu wa kusoma midomo wasigundue wanachozungumza.
Hivi karibuni kulikuwa na taarifa Ronaldo alimtusi Messi, hata hivyo Mreno huyo alikanusha vikali.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates