Basi la kampuni ya wibonela lililokuwa likitokea Kahama kuelekea jijini Dar esalaam limepinduka asubuhi hii maeneo ya Phantom kahama baada ya dereva wa basi hilo kushindwa kulimudu basi hilo lilipofika katika kona ya Phantom
mjini kahama likiwa katika mwendo kasi, bado haijajulikana ni watu wangapi wamepoteza maisha na kujeruhiwa katika ajali hiyo. Taarifa za awali kutoka kwenye tukio ambazo hazijathibitishwa na polisi zinadai watu wamefariki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni