Social Icons

Ijumaa, 21 Novemba 2014

Polisi wakiwaokoa wachezaji Ivory Coast Baada Ya kuvamia Uwanjani

Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa sare 0-0 huko Abidjan.








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates