Social Icons

Jumapili, 16 Novemba 2014

MBOWE MKOANI MOROGORO

1
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni Delete CCM juzi.
4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.

5
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akilakiwa na wanachi wa mji wa Gairo mkoani Morgoro baada ya kuwasili, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates