Social Icons

Jumatano, 8 Julai 2015

Nani atakaye mrithi Kikwete katika CCM?

Rais Kikwete ndiye anayeondoka
Pamoja na mkutano huo kupitisha ilani ya uchaguzi ya chama hicho kwa mwaka 2015/2020, pia utateua mgombea wake wa urais kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar.
Kwa mara ya kwanza wajumbe wa CCM wanaingia kumchagua mgombea rasmi ambapo mwaka huu kuna idadi kubwa zaidi ya wagombea wa kiti hicho katika historia ya chama hicho. Wadadisi wanasema kuwa msisimko w akisiasa ndani ya chama ndilo lililosababisha hamu kubwa miongoni mwa wanachama kutaka kupata nafasi hiyo.
Watanzanania wanasubiri kusikia nani kati ya wanachama 38 walio elezea nia yao, atachaguliwa kushikili abendera ya chama hicho wakati wa Uchaguzi baadaye mwaka huu.
Mbali na idadi hiyo, pia wadadisi wanasema kuwa uelewa na ushiriki wa raia katika kuchangia hja katiika siasa za nchi hiyo pia umeongezeka mara dufu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates