Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi tuzo Mwandishi Saed Kubenea tuzo ya uwazi na ukweli , ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam.
Jaji Mstaafu Mark Bomani katika picha ya pamoja (wa tano kulia ) wakiwa na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Dream Success Enterprises mmoja wao ni Joshua Lawrence (kushoto) na kulia ni Profesa Aldin Mutembei baada ya kukabidhiwa tuzo hizo Dar es Salaam jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni