Social Icons

Jumamosi, 11 Julai 2015

Man United kumsajili Matteo Darmian

Matteo_Darmian
Kocha wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amethibitisha kuwa beki wa kilabu ya Torino Matteo Darmian atafanyiwa ukaguzi wa matibabu kabla ya kuhamia kilabu hiyo kwa pauni milioni 12.9.
Mshambuliaji wa Manchester united Robin Van Persie tayari anaendelea na mazungumzo na kilabu ya Fenerbahce na Van Gaal anasema:Iwapo tutahisi anaendelea vyema tutasema,lakini kufikia sasa hatuna hisia hiyo.
Kuhusu uhamisho,aliongezea:''Nilisema mwishoni mwa msimu uliopita kwamba ununuzi wa wachezaji na uuzaji ni hatua.Hatua hiyo huendelea hadi mwezi Septemba.''Naona kama uhamisho huo unachukua mda mrefu.Nimesema hivyo mara nyingi.hatahivyo tunaendelea vyema''.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates