Social Icons

Alhamisi, 1 Januari 2015

WAZIRI WA UCHUKUZI AKUTANA NA WAFANYABISHARA WANAOTUMIA BANDARI YA DAR ES SALAAM

unnamed1
Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe, akisisitiza jambo alipokutana na wafanyabishara wanaotumia bandari ya Dar es Salaam (hawapo pichani), katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Leo asubuhi
unnamed
Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Award Massawe, akisistiza jambo, wakati Waziri wa Uchukuzi, alipokutana na Wafanyabishara wanaotumia bandari ya Dar es Salaam leo asubuhi katika ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam..
unnamed2
Makamu wa Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA), Edward John Urio, akisisitiza jambo wakati wa Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe, alipokutana na wafanyabishara wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam, katika ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

 
 
Blogger Templates